Washambuliaji Marcus Rashford na Anthony Martial wakipongezana baada ya wote kuifungia Manchester United katika ushndi wa 4-0 dhid ya Norwich City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Rashford ambaye amecheza mechi ya 200 leo Man United amefunga bao la kwanza dakika ya 27 na la pili kwa penalti dakika ya 52 na Martial la tatu dakika ya 54, wakati la nne limefungwa na Mason Greenwoodon dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment