Angel Correa akipongezwa na Koke baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la ushindi dakika ya 86 ikiilaza 3-2 Barcelona katika Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Koke dakika ya 46 na Alvaro Morata kwa penalti dakika ya 81, wakati ya Barcelona yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 51 na Antoine Griezmann dakika ya 62. Atletico sasa itamenyana na mahasimu wao wa Jiji, Real Madrid katika fainali Jumapili hapo hapo King Abdullah Sports City, Jeddah PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment