Wachezaji wa Arsenal wakimzonga refa Paul Tierney wakati anamuonyesha kadi nyekundu Nahodha wao, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 67 kwa kumchezea rafu Max Meyer katika sare ya 1-1 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Aubameyang alitoka akiwa ameifungia Arsenal bao la kuongoza dakika ya 12 akimalizia pasi ya Alexandre Lacazette, kabla ya Jordan Ayew kuisawazishia Crystal Palace akimtungua Bernd Leno kwa shuti lililombabatiza David Luiz PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment