Roberto Firmino, Jordan Henderson, Mohamed Salah, na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya Liverpool kupata bao la kwanza jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa London. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 35 kwa penalti na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 52 na kwa ushindi huo, Wekundu hao wa Anfield sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa pointi 19 zaidi ya Manchester City wanaofuatia baada ya wote kucheza mechi 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment