Nahodha Jordan Henderson akishangilia na mfungaji wa bao pekee la Liverpool, Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City wanaofuatia katika nafasi ya pili ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment