Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la pili kwa penalti dakika ya 88 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lazio usiku wa jana kwenye mchezo wa Serie A, Italia Uwanja wa Olimpico. Emre Can alianza kujifunga dakika ya 59 kuipa Lazio bao la kuongoza, kabla ya Joao Cancelo kuisawazishia Juventus dakika ya 74. Kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 59 baada ya kucheza mechi 21, ikiendelea kuongoza Serie A kwa pointi 11 zaidi ya Napoli wanaofuatia nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment