Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kuongoza dakika ya tatu 1-1 kabla ya Harry Maguire kuisawazishia Leicester City katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 61 baada ya sare ya jana katika mechi ya 24, ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment