Kiungo wa Levante, Ruben Rochina akijaribu kumdhibiti nyota wa Barcelona, Philippe Coutinho katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia. Levante ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Erick Cabaco dakika ya nne na Borja Mayoral anayecheza kwa mkopo kutoka Real Madrid dakika ya 18, wakati la Barcelona lilifungwa Coutinho kwa penalti dakika ya 85 na timu hizo zitarudiana Januari 17 Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment