Wachezaji wa Crystal Palace wakimpongeza mwenzao, Connor Wickham baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya tisa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bao la pili lilifungwa na Andros Townsend kwa penalti dakika ya 34 baada ya Kyle Walker-Peters kuushika mpira kwa mkono kwenye boksi, kabla ya Spurs nao kukosa penalti kufuatia mkwaju wa Kieran Trippier kutoka nje PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dembele wins Fifa Best men's player of the year
-
Paris St-Germain and France forward Ousmane Dembele has been named the
men's player of the year at the Fifa Best awards.
47 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment