Mshambuliaji Muargentina, Gonzalo Higuain akiwa ameshika jezi namba 9 ya Chelsea jana mjini London baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kutoka AC Milan hadi mwsihoni mwa msimu, dili ambalo linaweza kuifanya The Blues imtoe kwa mkopo, mshambuliaji wa Hispania, Alvaro Morata kwenda Atletico Madrid ya kwao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment