Willian akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao ka pili dakika ya 57 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya tisa na bao la kusawazisha la Newcastle limefungwa na Ciaran Clark dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment