Mbrazil Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za 26 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sheffield Wednesday kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England uliofanyika Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili lilifungwa na Callum Hudson-Odoi na kwa ushindi huo The Blues wanakwenda Raundi ya Tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment