Kylian Mbappe akishangilia kwa furaha baada ya kufunga mabao manne ndani ya dakika 13, dakika za 61, 66, 69 na 74 katika ushindi wa 5-0 wa Paris St Germain dhidi ya Lyon kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Bao lingine la PSG limefungwa na Neymar dakika ya tisa kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment