Harry Kane akiwa amemshika kwa hasira Joe Ralls wa Cardiff City (katikati kulia) baada ya kumchezea rafu mchezaji mwenzake wa Tottenham Hotspur Lucas Moura (kushoto chini, namba 27) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Wembley mjini London. Ralls alitolewa kwa kadi nyekundu na Spurs imeibuka na ushindi wa 1-0, bao pekee la Eric Dier dakika ya nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment