Roberto Firmino na Neymar wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Brazil dhidi ya Marekani kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa kuamkia leo Uwanja wa MetLife mjini East Rutherford, New Jersey, Marekani. Firmino alianza kufunga dakika ya 11 kabla ya kuangushwa kwenye boski na Neymar kufunga kwa penalti dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment