Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtazama kipa wa Singida United, David Kissu baada ya kuokoa jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hizo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 mabao yote akifunga Amissi Tambwe.
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akifumua shuti jana
Kiungo Ibrahim Ajib akipoga pasi ya juu
Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kushoto) akipambana na wachezaji wa Singida United
Kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa jana
Kikosi cha Singida United kwenye mchezo wa jana
A 'novice' who can 'punch a bit' - how good is Paul?
-
BBC Sport takes a look inside Jake Paul’s camp and assesses his boxing
ability before Friday's fight with Anthony Joshua in Miami.
37 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment