Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akipambana katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano wakichapwa mabao 2-1 na Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque mjini Leganes. Mabao ya Leganes yalifungwa na Nabil El Zhar dakika ya 52 na Óscar Rodríguez dakika ya 53, wakati la Barce limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FIFA reveal their team of the year with just THREE Premier League players
included while two England stars make cut ahead of next summer's World Cup
-
FIFA have named just three Premier League stars in their team of the year
as part of their Best Awards.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment