Mshambuliaji wa Fiorentina, Giovanni Simeone akiwapangua wachezaji wa Guatamela kabla ya kuifungia Argentina dakika ya 44 katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Makumbusho mjini Los Angeles, California. Mabao mengine ya Argentina iliyomkosa Nahodha wake, Lionel Messi yamefungwa na Gonzalo Martinez dakika ya 27 kwa penalti na Giovani Lo Celso dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment