Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu usiku wa Jumatano kufuatia kugombana na Jeison Murillo wa Juventus wakati wa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Mestalla. Juventus imeshinda 2-0, mabao yote akifunga kiungo wa kimataifa wa Bosnia & Herzegovina, Miralem Pjanić na yote kwa penalti dakika za 45 na 51 na kilichomponza Ronaldo ni kwenda kumrudishia Murillo akiwa hana mpira baada ya kuchezewa rafu kwenye boksi na beki huyo Mcolombia. Hiyo ni kadi nyekundu ya 11 kwa Ronaldo kihistoria kwenye soka, lakini ya kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment