Renato Sanches (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la pili dakika ya 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya klabu yake ya utotoni, Benfica kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa usiku wa Jumatano Uwanja wa da Luz mjini Lisbon, Ureno kufuatia Robert Lewandowski kufunga bao la kwanza dakika ya 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment