Mashabiki wa Simba wakiwa wenye huzuni baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 3-3 jioni ya leo
Jamaa wa kushoto alishindwa kujizuia na kujikuta anabubujikwa na machozi
Wenzake walijitahidi na kuishia kununa tu, lakini hawakudondosha tone la chozi
Shabiki huyu alikuwa akitoa maneno makali kwa wachezaji wa Simba kwa kuruhusu Stand kupata sare
Sura za mashabiki hawa wa Simba baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza, timu hizo zikiwa zimefungana 2-2
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment