Mwanasoka Bora wa Dunia mara tano, Cristiano Ronaldo (kushoto) wa Ureno akijaribu kupiga krosi mbele ya beki wa Uholanzi, Ake (kulia) katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Geneva, Uswisi. Uholanzi ilishinda 3-0 mabao ya Memphis Depay dakika ya 11, Ryan Babel dakika ya 32 na Virgil van Dijk dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment