Kocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate akizungumza na mshambuliaji Harry Kane, ambaye yuko nje ya kikosi kwa sababu ya maumivu ya mguu. Lakini jana wakati anazungumza na Southgate kwenye mazoezi ya Three Lions jana viwanja vya Enfield, ikijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Italia kesho, Kane hakuwa na magongo ya kutembelea kuashiria amepata ahueni ya maumivu yake aliyoyapata mapema mwezi huu katika mchezo na Bournemouth na kutakiwa kuwa nje kwa wiki sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England battle despite Carey ton in crucial Test
-
England battle hard to stay in the Ashes as Alex Carey’s century leads
Australia to 326-8 on the first day of the third Test.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment