Nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameposti picha hii ya magari yake ya kifahari yenye jumla ya Pauni 850,000 ambayo alikuwa ameyapaki nje ya hoteli ya kifahari ambayo mchezaji huyo anaishi. Gari hizo ni pamoja na Lamborghini Aventador yenye thamani ya Pauni 270,000, lakini pia Aubameyang ana Porsche, Ferrari na Range Rover katika gari hizo. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Gabon ana gari nyingine kibao za kifahari ambazo bado hajazihamishia England ambako katika mechi sita alizoichezea Arsenal tangu ajiunge nayo Januari ameifungia mabao matatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment