Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia wakifuatilia mchezo wa kirafiki baina ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes na Morocco leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Ngorongoro imeshinda 1-0.
Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akifurahia soka ya Ngorongoro Heroes
Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) hapa akisalimiana na kiongozi wa Morocco
Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akiwasabahi baadhi ya wadau waliojitokeza uwanjani
Wananchi na wapenzi wa soka wakionyesha mapenzi yao kwa Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa kwa kumpungia mikono
Watch final face-off before Paul v Joshua in Miami
-
Watch Anthony Joshua and Jake Paul face-off at Thursday's weigh-in before
their controversial heavyweight bout in Miami.
37 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment