Gwiji wa Riadha, Mjamaica Usain Bolt akifanya mazoezi na wachezaji wa klabu ya Borussia Dortmund ambayo inadhaminiwa na Puma kama yeye nchini Ujerumani jana. Bolt, ambaye ataiongoza timu ya dunia 'World XI' dhidi ya Robbie Williams wa England katika Soccer Aid mwezi Juni, tayari ameanza mazoezi ya kujiandaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ASHES BREAKFAST: Ollie Pope plumbs new depths in England's dismal batting
response, more Snicko embarrassment and Nathan Lyon overtakes Aussie great
-
OLIVER HOLT IN ADELAIDE: England's hopes of regaining the Ashes are hanging
by the most frayed of threads after another dismal performance.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment