Nahodha wa Simba SC, Suleiman Matola (katikati) akiwatambulisha wachezaji wenzake, Nteze John na Joseph Kaniki (kushoto) kwa mgeni rasmi, Mbunge wa Mvomero, Suleiman Sadiq kabla ya mchezo wa hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana FC ya Zambia Uwanja wa Jamhuri Morogoro mwaka 2002. Simba ilishinda 3-0, lakini ikatolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya kufungwa 4-0 kwenye mchezo wa kwanza Zambia.
Bellamy says Wales 'stick' hurt as Norway win lifts mood
-
Head coach Craig Bellamy says he has been through a "really difficult"
spell because of criticism aimed in his direction during Wales' winless run.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment