BAO pekee la Timo Werner dakika ya 43 leo limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
Ni ushindi unaoifanya The Blues ifikishe pointi 58, ingawa inabaki nafasi ya nne, ikiwazidi Wagonga Nyundo wa London pointi tatu baada ya wote kucheza mechi 33.
0 comments:
Post a Comment