• HABARI MPYA

  Friday, September 04, 2020

  MTIBWA SUGAR WAWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA HOSPITALINI MOROGORO KABLA YA KUANZA KWA LIGI KUU JUMAPILI

  KIPA wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed Nduda akimfariji mgionjwa jana walitembelea hospitali mbili, Turiani, Bwagala na Mtibwa kwa ajili ya kuwapa pole na kuwafariji wagonjwa ikiwa ni pamoja kuwapelekea baadhi ya mahitaji muhimu. 
  Mtibwa Sugar watacheza mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani Jumapili, Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro  


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR WAWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA HOSPITALINI MOROGORO KABLA YA KUANZA KWA LIGI KUU JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top