• HABARI MPYA

  Tuesday, September 01, 2020

  MO DEWJI AMKABIDHI JEZI MPYA SHABIKI WA SIMBA SC ALYECHANIWA JEZI NA MASHABIKI WA YANGA

  Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji (kushoto) akimkabidhi jezi mpya, shabiki Kindio Hassan kama fidia baada ya kuchaniwa jezi yake na mashabiki wa Yanga juzi kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, tafrija ya wapinzani wao hao Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MO DEWJI AMKABIDHI JEZI MPYA SHABIKI WA SIMBA SC ALYECHANIWA JEZI NA MASHABIKI WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top