Beki na Nahodha, Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika ya tatu kwa penalti na 29 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Ukraine kwenye mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Ansu Fati dakika ya 32 na Ferran Torres dakika ya 84. Mechi nyingine ya kundi hilo jana, Uswisi ililazimishwa sare ya 1-1 na Ujerumani Uwanja wa St. Jakob-Park Jijini Basel, Ilkay Gundogan akianza kuwafungia Ujerumani dakika ya 14, kabla ya Silvan Widmer kuwasawazishia wenyeji dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Park cricketer's gruelling day with bat in hand to raise funds for Beyond
Blue
-
A local Victorian cricketer has turned heads after batting for 12 hours
straight to raise money for mental health charity Beyond Blue.
44 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment