• HABARI MPYA

    Thursday, April 23, 2020

    MKALI WAO, BERNARD MORRSON ANAVYOFURAHIA MAISHA KATIKA KLABU YAKE MPYA, YANGA YA DAR ES SALAAM

    Kiungo Mghana aliyejiunga na Yanga SC ya Dar es Salaam Januari mwaka huu, Bernard Morrison akifurahia maisha kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKALI WAO, BERNARD MORRSON ANAVYOFURAHIA MAISHA KATIKA KLABU YAKE MPYA, YANGA YA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top