• HABARI MPYA

  Saturday, April 25, 2020

  KIPA MKONGWE JUMA KASEJA ANAVYOJIFUA PEKE YAKE KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI ZAIDI NA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA SOKA

  Kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja anayechezea KMC ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam akiruka juu kudaka mpira wakati wa mazoezi yake binafsi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPA MKONGWE JUMA KASEJA ANAVYOJIFUA PEKE YAKE KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI ZAIDI NA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top