• HABARI MPYA

  Saturday, July 14, 2018

  UBELGIJI YAIPIGA ENGLAND 2-0 NA KUMALIZA WA TATU

  Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la pili dakika ya 82 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya England leo kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Kombe la Dunia Uwanja wa Saint-Petersburg nchini Urusi. Bao la kwanza la Ubelgiji lilifungwa na Thomas Meunier 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAIPIGA ENGLAND 2-0 NA KUMALIZA WA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top