• HABARI MPYA

  Friday, July 06, 2018

  UBELGIJI YAIPIGA 2-1 BRAZIL NA KUITUPA NJE KOMBE LA DUNIA

  Kevin De Bruyne akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la pili Ubelgiji dakika ya 31 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Brazil leo Uwanja wa Kazan Arena nchini Urusi kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia. Bao la kwanza la Ubelgiji lilifungwa na Fernandinho dakika ya 13, wakati la Brazil lilifungwa na Renato Augusto dakika ya 76 na sasa watakutana na Ufaransa katika Nusu Fainali Julai 10 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAIPIGA 2-1 BRAZIL NA KUITUPA NJE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top