• HABARI MPYA

  Thursday, July 05, 2018

  NYOTA BFRAZIL WAJUMUIKA WATOTO WAO MAZOEZINI WAKIJIANDAA KUIVAA UBELGIJI

  Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akiwa na mwanawe wa kiume, Davi Lucca wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana nchini Urusi jana kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia dhidi ya Ubelgiji Ijumaa. Wachezaji wa Brazil waliungana na watoto wao kwa mazoezi ya jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA BFRAZIL WAJUMUIKA WATOTO WAO MAZOEZINI WAKIJIANDAA KUIVAA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top