Mwanzo > HABARI PICHA > HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WAPYA WA PETROJET AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WAPYA WA PETROJET Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Petrojet ya Misri, Ahmed Gamal na Ali mjini Cairo wiki hii kujiandaa na msimu baada ya kujiunga na timu hiyo Mei, mwaka huu akitokea Azam FC ya nyumbani Thursday, July 12, 2018 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment