• HABARI MPYA

    Thursday, July 12, 2018

    CHIRWA ANAVYOFURAHIA MAISHA ISMAILIA BAADA YA KUACHANA NA YANGA

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Obrey Chirwa (kulia) akifurahia na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Ismailia hivi karibuni baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Yanga ya Tanzania aliyochezea kwa misimu miwili akiwasili kutokea Platinums FC ya Zimbabwe  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHIRWA ANAVYOFURAHIA MAISHA ISMAILIA BAADA YA KUACHANA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top