• HABARI MPYA

  Thursday, December 15, 2016

  STRAIKA MPYA WA MABAO ALIVYOANZA KAZI YANGA LEO

  Mshambuliaji mpya wa Yanga, Emmanuel Martin aliyesajiliwa jana kutoka JKU ya Zanzibar akivaa viatu ili kwenda kuungana na wachezaji wenzake wapy kwa mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
  Emmanuel amesajiliwa siku chache baada ya kuifunga mabao mawili ikilala 2-0 mbele ya JKU Uwanja wa Uhuru Jumamosi 
  Emmanuel mwenye jezi namba 18 akifanya na mazoezi na wenzake leo Uhuru
  Yanga inajiandaa kwa mchezo wa kwanza mzunguko wa pili Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu Jumamosi wiki hii
  Na leo imefanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STRAIKA MPYA WA MABAO ALIVYOANZA KAZI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top