• HABARI MPYA

  Monday, December 12, 2016

  ORIGI AINUSURU LIVERPOOL KUANGUKIA PUA KWA WEST HAM

  Mshambuliaji Divock Origi akikimbia na mpira kuurudisha katia uanze tena, baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 48 katika sare ya 2-2 na West Ham United Uwanja wa Anfield Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Adam Lallana dakika ya tano wakati ya Spurs yalifungwa na Dimitri Payet dakika ya 27 na Michail Antonio dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ORIGI AINUSURU LIVERPOOL KUANGUKIA PUA KWA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top