NI MWENDO WA TUZO NA MAHELA SIMBA...MUZAMIL NAYE AKABIDHIWA LEO
Kocha wa Simba, Mcameroon Joseph Omog (kushoto) akimkabidhi kiungo wake, Muzamil Yassin tuzo ya mchezaji bora wa klabu wa Oktoba sambamba na kitita cha Sh. 500,000 wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam. Anayechungulia kulia ni kiungo mwingine, Mwinyi Kazimoto
Omog akifurahia na Muzamil. Mwingine kushoto ni beki Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Kutoka kulia kiungo James Kotei kutoka Ghana, Muzamil na Janvier Bokongu
Omog akizungumza na wachezaji wake wakati wa mazoezi
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment