• HABARI MPYA

    Tuesday, December 13, 2016

    KICHUYA ATWAA TUZO YA MASHABIKI SIMBA

    Kiongozi wa kundi la mashabiki wa Simba la mtandaoni maarufu kama Simba Sporaa, Geff Kapyata Shimwela (kushoto) akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Oktoba kiungo wa timu hiyo, Shizza Kichuya jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Bahati mbaya Kichuya alikabidhiwa tuzo hiyo Simba ikitoka kufungwa 2-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KICHUYA ATWAA TUZO YA MASHABIKI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top