• HABARI MPYA

  Wednesday, December 14, 2016

  ARSENAL YACHEZEA KICHAPO GOODISON PARK

  Beki wa Everton, Ashley Williams akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake dakika ya 86 ikiilaza Arsenal 2-1 usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park. Alexis Sanchez alitangulia kuifungia The Gunners dakika ya 20 kabla ya Seamus Coleman kuisawazishia Toffees dakika ya 44. Everton ilimaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Phil Jagielka kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 93 kufuatia kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YACHEZEA KICHAPO GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top