![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0. |
![]() |
| Beki wa Polisi akiwa amemuangusha Msuva nje kidogo ya boksi |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe (kushoto) akimtoka beki wa Polisi |
![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Polisi |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Polisi |
![]() |
| Beki wa Polisi akiinua mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya Coutinho |








.png)
0 comments:
Post a Comment