Mshambuliaji mkongwe wa Chelsea, Didier Drogba akimuonyesha refa Kevin Friend jezi yake ilivyochanwa baada ya kukumbana na wachezaji wa Watford katika mechi ya Kombe la FA Uwanja wa Stamford Bridge Jumapili. Chelsea ilishinda 3-0 na kutinga Raundi ya Nne ya michuano hiyo.


.png)
0 comments:
Post a Comment