• HABARI MPYA

    Friday, April 20, 2012

    SPORTING YAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI

    Kiungo wa Sporting, Diego Capel (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Insua (kulia) baada ya kufunga bao dhidi ya Athletic Bilbao katika Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League Uwanja wa Alvalade mjini Lisbon usiku huu. Mabao ya Sporting yalifungwa na Insua dakika ya 76 na Capel dakika ya 80, wakati la Bilbao lilifungwa na Aurtenetxe dakika ya 54.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPORTING YAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top