• HABARI MPYA

    Friday, April 20, 2012

    WABABE WA MAN UNITED WAENDELEZA UTEMI ULAYA

    
    Falcao wa Atletico Madrid akishangilia baada ya kufunga katika mechi ya Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League dhidi ya Valencia, zote za Hispania usiku huu kwenye Uwanja wa Vicente Calderon, Madrid. Atletico imeshinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Falcao mawili dakika ya 18 na 78, Miranda dakika ya 49 na Adrian dakika ya 54, wakati ya Valencia yalifungwa na Jonas dakika ya 45 na Ricardo Costa dakika ya 90.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WABABE WA MAN UNITED WAENDELEZA UTEMI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top