• HABARI MPYA

  Saturday, May 30, 2009

  MSIKOSE AFRI CENTRE JUNI 6 JAMANI


  AMA kwa hakika Juni 6 mwaka huu patakuwa hapatoshi pale Afri Centre Ilala, kwani siku hiyo vimwana 12 watapanda kwenye stage kuwania taji la Miss Dar es Salaam (Mzizima) wakisindikizwa na burudani ya bendi ya Diamond Musica Intenational na wasanii wa Bongo Fleva Buibui Pipi na Barabas.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSIKOSE AFRI CENTRE JUNI 6 JAMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top