• HABARI MPYA

  Monday, May 25, 2009

  AKINA LUNDENGA NDANI YA MISS MZIZIMA LEO

  kamati ya Miss Tanzania leo inatetembelea kambi ya warembo wanaojiandaa kushiriki shindano la Miss Dar Mzizima lililopangwa kufanyika Juni 6, mwaka huu ukumbi wa Afri Centre, Ilala, Dar es Salaam.
  Dina Ismail Zubeiry, Mratibu wa shindano hilo alisema Kamati itafika Deluxe Hotel, Sinza ilipo kambi ya warembo hao leo jioni kupiga nao stori.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AKINA LUNDENGA NDANI YA MISS MZIZIMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top