• HABARI MPYA

  Saturday, May 30, 2009

  MISS DAR MZIZIMA JUNI 6 AFRI CENTRE  WASHIRIKI wa shindano la Miss Dar es Salaam wakiwa kwenye kikao na Kamati ya Miss Tanzania hivi karibuni, shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 6, mwaka huu katika ukumbi wa Afri Centre.

  Burudani itaongozwa na bendi ya Diamond Musica, wasanii wa Bongo Fleva Barnabas, Buibui na Pipi. Jamani msikose hili tukio, limebebwa vimwana bomba mpaka basi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MISS DAR MZIZIMA JUNI 6 AFRI CENTRE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top